Wednesday, 1 January 2020

Week days, months and years in Swahili

Week days (siku za wiki)
1
Jumatatu
Monday
2
Jumanne
Tuesday
3
Jumatano
Wednesday
4
Alhamisi
Thursday
5
Ijumaa
Friday
6
Jumamosi
Saturday
7
Jumapili
Sunday

Month (mwezi), months (miezi)
1
Januari / mwezi wa kwanza
January / first month
2
Februari / mwezi wa pili
February / second month
3
Machi / mwezi wa tatu
March / third month
4
Aprili / mwezi wa nne
April / forth month
5
Mei / mwezi wa tano
May / fifth month
6
Juni / mwezi wa sita
June / sixth month
7
Julai / mwezi wa saba
July / seventh month
8
Agosti / mwezi wa nane
August / eighth month
9
Septemba / mwezi wa tisa
September / ninth month
10
Oktoba / mwezi wa kumi
October / tenth month
11
Novemba / mwezi wa kumi na moja
November / eleventh month
12
Disemba / mwezi wa kumi na mbili
December / twelfth month

Year (mwaka), years (miaka)
2022
elfu mbili na ishirini na mbili
2021
Elfu mbili na ishirini na moja
2020
Elfu mbili na ishirini
2019
Elfu mbili na kumi na tisa
2018
Elfu mbili na kumi na nane
2017
Elfu mbili na kumi na saba
2016
Elfu mbili na kumi na sita
2015
Elfu mbili na kumi na tano
2014
Elfu mbili na kumi na nne
2013
Elfu mbili na kumi na tatu
2012
Elfu mbili na kumi na mbili
2011
Elfu mbili na kumi na moja
2010
Elfu mbili na kumi
2009
Elfu mbili na tisa
2008
Elfu mbili na nane
2007
Elfu mbili na saba
2006
Elfu mbili na sita
2005
Elfu mbili na tano
2004
Elfu mbili na nne
2003
Elfu mbili na tatu
2001
Elfu mbili na moja
2000
Elfu mbili
1999
Elfu moja mia tisa na tisini na tisa
1998
Elfu moja mia tisa na tisini na nane
1990
Elfu moja mia tisa na tisini
1980
Elfu moja mia tisa na themanini
1800
Elfu moja na mia nane


Decade
Muongo
Century
Karne
Millennium
Milenia

No comments:

Post a Comment

SWAHILI SYLLABLEs/SOUNDS

SWAHILI SYLLABLE SOUNDS The following is a list of the syllables made up of one and/or two consonants and vowels. Also, I have provided one...